Hoteli zingine hizi... Zitatuua njaa

Hoteli zingine hizi... Zitatuua njaa

ISVANK

New Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Kuna siku nimetoka home, njaa inanipiga vibaya.. Pale mtaani kuna hoteli mpya ilikuwa imefunguliwa..
Jina inaitwa
COMPUTER HOTEL
Menyu ndo ilinichosha..a

..window rost
..Mchemsho wa RAM
..supu ya flopy
..VGA choma
..harddisk kavu
..mkausho wa power cables..

Mbona nilishiba kabla ya kula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom