ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,631
Dolphin Hotel au Nyinda mitaa cha Chuda..
Natarajia kwenda Tanga kwenye hii weekend.
Naomba kufahamu hoteli au lodge nzuri kwa kiwango kisichozidi 40,000.
Nawasilisha.
Kwa wenyeji wa Mji huo naomba msaada.
Nawasilisha.
sabasaba zikoje kaka wanafinyia kwa ndani au wanatoa mtandao pendwaNenda chuda kuna Hotel za kutosha Kuna NYINDA kuna DOLPHIN, kuna ITENDERE, zote zina hadhi ya 5 star kuhusu mambo ya maakuli na mbususu fika SABA SABA utanishukuru baadae
Nenda chuda kuna Hotel za kutosha Kuna NYINDA kuna DOLPHIN, kuna ITENDERE, zote zina hadhi ya 5 star kuhusu mambo ya maakuli na mbususu fika SABA SABA utanishukuru baadae
Na chips funga zile quality achana na zile za barabarani za mafungu zinapatikana wapi ? nimesaidia kumuulizia ye anaskia aibu kuuliza
OverratedTanga raha
Ova
Saba saba iko wapi mkuuNenda chuda kuna Hotel za kutosha Kuna NYINDA kuna DOLPHIN, kuna ITENDERE, zote zina hadhi ya 5 star kuhusu mambo ya maakuli na mbususu fika SABA SABA utanishukuru baadae
Naunga mkono hoja.Overrated
Mkuu sabasaba na MikanjuniNenda chuda kuna Hotel za kutosha Kuna NYINDA kuna DOLPHIN, kuna ITENDERE, zote zina hadhi ya 5 star kuhusu mambo ya maakuli na mbususu fika SABA SABA utanishukuru baadae
Naam!Nenda chuda kuna Hotel za kutosha Kuna NYINDA kuna DOLPHIN, kuna ITENDERE, zote zina hadhi ya 5 star kuhusu mambo ya maakuli na mbususu fika SABA SABA utanishukuru baadae