F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,381
- 1,119
ukishuka oale mbuyuni kuna loadge nzuri tuu sijui inaitwa kwa mangi lakini jamaa wa boda boda wanapajua nauli 1000 tu
Kunduchi beach si kuna hotel ya kunduchi!!!Wakuu niko Mwanza kikazi na ninatarajia kusafiri early June kwenda Dar maeneo ya Kunduchi Beach kwa shughuli maalum...... naulizia reasonable hotel maeneo hayo na contact zao.
Safari ya June unaulizia leo April usawa wenyewe huu wa kukomoana.
Utapewa sehemu siku ya kusafiri hiyo June uambiwe pamepigwa mnada.
Ha ha ha...Mkuu umejibu kama unaujua uchumi wa alieuliza...unaaibisha industry ya Engineering kwa hayo majibu.
Kiongozi nahisi ume reply vibaya hii SMS nafikiri haikua yangu.Unajuaje kama siwezi. Sikuomba ushauri kama naweza au siwezi. Nimeomba guidance kwa wenyeji.
Jibu lako nimecheka sana kuna watu mmevurugwa humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ataiweza Ramada huyo!!
Pale ni wazungu tuu...
Akienda mie nakunya hapa hapa JF.
Ungelikua una pesa usingesema ya bei nafuu.
Ungeuliza tu Hotel gani nzuri ya kufikia, basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jf raha sana [emoji23] [emoji23]Blaza usijifanye mjuaji...
Unataka kuyakataa matapishi yako mwenyewe????
Kichwa cha habari umeandika hivi:
Hoteli nzuri ya bei nafuu maeneo ya Mbezi beach au Kunduchi
View attachment 498122
Kwanza una ugomvi gani na mtoa mada ?Blaza usijifanye mjuaji...
Unataka kuyakataa matapishi yako mwenyewe????
Kichwa cha habari umeandika hivi:
Hoteli nzuri ya bei nafuu maeneo ya Mbezi beach au Kunduchi
View attachment 498122
Ndo hapo unapogongwaga?Kuna lodge ipo mbezi goigi nyuma ya crdb Bank ni nyokoo, utadhani Five star hotel, kwa usiku ni kuanzia 80 ,hutojutia pesa yako, pamejificha sana, kama mtu wa kuchepuka ns kufanya uasherati patakufaa
ukishuka oale mbuyuni kuna loadge nzuri tuu sijui inaitwa kwa mangi lakini jamaa wa boda boda wanapajua nauli 1000 tu
Nadhani utakuwa unazungumzia Seduta Hotel. Mkuu Mvuvi_papa Pale pako sawa, napakubali. Room zinaanza elfu sitini hivi, ni safi na wana customer service nzuri sana. Website yao hii hapa
IKO SIKU UTAJUA NA NIKIFIKA HAPO THE SO CALLED RAMADA NITAKUITA UJE UPATE SUPU YA PWEZA WEWE MAANA NDO MAWAZO YAKO. NI PM CONTACT ZAKO.Yeye anadai ana hela ya kutosha kufikia hoteli yoyote...
Mimi nambishia kuwa hana hela ya kunusa pale Ramada Resort...
Kama anayo mie Nakunya live hapa JF
Nadhani utakuwa unazungumzia Seduta Hotel. Mkuu Mvuvi_papa Pale pako sawa, napakubali. Room zinaanza elfu sitini hivi, ni safi na wana customer service nzuri sana. Website yao hii hapa
Kuna lodge ipo mbezi goigi nyuma ya crdb Bank ni nyokoo, utadhani Five star hotel, kwa usiku ni kuanzia 80 ,hutojutia pesa yako, pamejificha sana, kama mtu wa kuchepuka ns kufanya uasherati patakufaa
mkuu mbona wale jamaa bei zao ni kubwa sana?paradise pale jiran na kituo cha tanki bovu
Asante sana mkuu nimeona naona kiko vizuri.......... anything near Kunduchi beach hotel....... let's say walkable distance???
Mkuu umasikini wako unafikiri ni wa kila mtu?Yeye anadai ana hela ya kutosha kufikia hoteli yoyote...
Mimi nambishia kuwa hana hela ya kunusa pale Ramada Resort...
Kama anayo mie Nakunya live hapa JF