fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Sasa mbona unataka kuwadhalilisha akina dada jamani!!!! NAAMIN AKINA DADA WA JF WAKIKUELEWA ULIKUWA NA MAANA GANI, WATAKUCHUKIA MPAKA BASI....MAANA HUWEZI WAITA WAO NI HOTELI NDOGO, WAKATI WAO NI WA-BEIJING
Hoteli ndogo duniani ni "K" kwa kuwa huingia mteja mmoja tu na huacha mizigo yake mlangoni.