Hoteli/Hosteli Inapangishwa Sakina,Arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
13,999
Hoteli mpya na ya kisasa inapangishwa kwa chumba kimoja kimoja au hata yote ina vyumba 31.
Sifa za Hoteli/Hosteli ina eneo kubwa la parking,umeme,maji ya uhakika,electic fence,vyumba vyote ni full self cotained,Tv,balcony na ni sehemu tulivu sana,ni dakika 10 kwa gari kutoka katikati ya jiji la Arusha.

Bei ya chumba kwa wiki ni 210,000/= Tsh ikiwa utapata na full breafast ni 250,000/=Tsh kwa wiki 1.
Ni sehemu nzuri kwa wote.
Ikiwa utapenda kuchukua vyumba vingi kuna punguzo la bei.
 
Mawasiliano 0713 260 027/0752 489 529

Kwa Walumu wa St. Augustino mimi nina apartment za vyumba viwili vywa kulala, sebule, choo bafu na jiko; (Jumla ziko 6 kwenye jengo moja tatu chini na tatu juu) ujenzi unaendelea utakamilisha mwisho wa Julai 2013
 
Back
Top Bottom