Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Wakuu Habari za mda huu tafadhali kwa mwenye ufahamu na Hotel nzuri maeneo yanayozunguka Iringa stand
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Jaribu Koromije Guest House
Ni bei gani hii mkuu?Fika WIHANZI LODGE.
Ni bei gani mkuuHotel ya 20 si utapewa room ya mazoezi ( short time) acha ubahili tafuta japo ya 40 au 50
Hii nadhani ipo MwanzaBASHETI GEST HOUSE
Bei ni kuanzia elfu 20 mkuu typing errorMkuu umeniacha kidogo hapo uliposema "Hotel ya elfu 20 (kushuka)"unamaanisha kuanzia elfu 15,10 hadi elfu 5?au unamaanisha "elfu 20 UKISHUKA STAND YA IRINGA"?(Heading)
Guest house mkuuwewe unataka gest au hotel kwa hiyo elfu 20
Kama unaijua ambayo imetulia mkuuHiyo ni hoteli au gesti bubu za kupigisha short time?
Asante mkuuUliza Kalenga hotel halafu upande wa pili was barabara kuna Anex inaanzia 20 hadi 50 in pazuri nimelala hapo last month unatembea tu kutoka stendi uko pembeni ya barabara kuu asubuhi unapewa na break fast na ina bar hapo ndani.
Asante sana mkuuACHENI UTANI HAPO IRINGA KUNA HOTEL YA GHOROFA INAITWA RIKI HOTEL KAMA SIKOSEI IPO JUU YA MASHINE TATU KAMA UNAELEKEA KANISA LA MSHINDO...BEI NI 20000. PAZURI SANA NA USALAMA WA KUTOSHA.