B botafongo jr Senior Member Joined Aug 13, 2013 Posts 107 Reaction score 17 Mar 20, 2018 #1 Habari zenu wana jamvi! Uzi huu nimeuweka maalum kwaajili ya kujuzana kuhusu hotel mbalimbali kwa jiji la dar zenye huduma nzuri na bei nafuu kuanzia elf 30 had laki 1 kwa huduma ya kulala. Nawakaribisha wana jamvi
Habari zenu wana jamvi! Uzi huu nimeuweka maalum kwaajili ya kujuzana kuhusu hotel mbalimbali kwa jiji la dar zenye huduma nzuri na bei nafuu kuanzia elf 30 had laki 1 kwa huduma ya kulala. Nawakaribisha wana jamvi
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,456 Reaction score 67,408 Mar 20, 2018 #2 Cc. Watu wa dar
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Mar 20, 2018 #3 Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua.
Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua.
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,014 Mar 20, 2018 #4 Ngoja tufatilie
B botafongo jr Senior Member Joined Aug 13, 2013 Posts 107 Reaction score 17 Mar 20, 2018 Thread starter #5 Planett said: Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua. Click to expand... Shukran
Planett said: Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua. Click to expand... Shukran
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 20, 2018 #6 Davet said: Ngoja tufatilie Click to expand... Ukifatilia usisahau kwenda kufanya booking
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,737 Reaction score 129,435 Mar 20, 2018 #7 Kifaru Lodge Mwananyamala iko vizuri. Hapo ukijisikia bored unasogea Royal Bar(tamka loyo ndio utaeleweka maeneo hayo)
Kifaru Lodge Mwananyamala iko vizuri. Hapo ukijisikia bored unasogea Royal Bar(tamka loyo ndio utaeleweka maeneo hayo)
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,014 Mar 20, 2018 #8 Shunie said: Ukifatilia usisahau kwenda kufanya booking Click to expand... Hahah!! Unataka tubadirishe mazingira?
Shunie said: Ukifatilia usisahau kwenda kufanya booking Click to expand... Hahah!! Unataka tubadirishe mazingira?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 20, 2018 #9 RRONDO said: Kifaru Lodge Mwananyamala iko vizuri. Hapo ukijisikia bored unasogea Royal Bar(tamka loyo ndio utaeleweka maeneo hayo) Click to expand... Hivi kifaru ndio ile mbele ya Royal wewe uko umekujuaje
RRONDO said: Kifaru Lodge Mwananyamala iko vizuri. Hapo ukijisikia bored unasogea Royal Bar(tamka loyo ndio utaeleweka maeneo hayo) Click to expand... Hivi kifaru ndio ile mbele ya Royal wewe uko umekujuaje
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 20, 2018 #10 Davet said: Hahah!! Unataka tubadirishe mazingira? Click to expand... Sio kila siku nyumbani
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,014 Mar 20, 2018 #11 Shunie said: Sio kila siku nyumbani Click to expand... Mara moja moja kubadirisha mazingira sio mbaya kweli, ngoja nikipata chimbo la maana tufanye hvyo kwakweli
Shunie said: Sio kila siku nyumbani Click to expand... Mara moja moja kubadirisha mazingira sio mbaya kweli, ngoja nikipata chimbo la maana tufanye hvyo kwakweli
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 Mar 20, 2018 #12 Planett said: Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua. Click to expand... Waswahili hujawaambia gharama mkuu
Planett said: Mi huwa nalala MIC Hotel ubungo na nyingine inaitwa NEMAX LOYAL Hotel , KING D n.k zipo vizuri.... Hizo ndio nazijua. Click to expand... Waswahili hujawaambia gharama mkuu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 20, 2018 #13 Davet said: Mara moja moja kubadirisha mazingira sio mbaya kweli, ngoja nikipata chimbo la maana tufanye hvyo kwakweli Click to expand... Ndio maana nakupenda we mwanaume jamani
Davet said: Mara moja moja kubadirisha mazingira sio mbaya kweli, ngoja nikipata chimbo la maana tufanye hvyo kwakweli Click to expand... Ndio maana nakupenda we mwanaume jamani
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,379 Reaction score 88,735 Mar 20, 2018 #14 Shunie said: Hivi kifaru ndio ile mbele ya Royal wewe uko umekujuaje Click to expand... Kuna ile lodge iko kama peace
Shunie said: Hivi kifaru ndio ile mbele ya Royal wewe uko umekujuaje Click to expand... Kuna ile lodge iko kama peace
Dinnah JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 791 Reaction score 1,060 Mar 20, 2018 #15 Lamada hotel& apartment Ipo ilala boma iko vizuri bei kanzia 20 hadi laki 1
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,737 Reaction score 129,435 Mar 20, 2018 #16 Shunie said: Hivi kifaru ndio ile mbele ya Royal wewe uko umekujuaje Click to expand... ๐๐๐
Jolie Jolie JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 7,406 Reaction score 13,823 Mar 20, 2018 #18 hearly msaada plz
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,350 Mar 20, 2018 #19 Zainabu002 said: Lamada hotel& apartment Ipo ilala boma iko vizuri bei kanzia 20 hadi laki 1 Click to expand... Naona wewe ndo huwa mlipa lodge au sio -am sorry
Zainabu002 said: Lamada hotel& apartment Ipo ilala boma iko vizuri bei kanzia 20 hadi laki 1 Click to expand... Naona wewe ndo huwa mlipa lodge au sio -am sorry
Jolie Jolie JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 7,406 Reaction score 13,823 Mar 20, 2018 #20 RRONDO said: Kifaru Lodge Mwananyamala iko vizuri. Hapo ukijisikia bored unasogea Royal Bar(tamka loyo ndio utaeleweka maeneo hayo) Click to expand... Ntakuja unipeleke loyo
RRONDO said: Kifaru Lodge Mwananyamala iko vizuri. Hapo ukijisikia bored unasogea Royal Bar(tamka loyo ndio utaeleweka maeneo hayo) Click to expand... Ntakuja unipeleke loyo