Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 306
Wakuu Kwa wenyeji wa mji wa Morogoro naomba kujua hotel nzuri ya kati ya Tshs. 60,000 - 70,000 Kwa night mnijulishe. Kama una namba zao za simu pia nitashukuru ukiniwekea. Nimejaribu kutafuta Kwa internet hamna cha zaidi ya Morogoro Hotel, Hilux na Nashera. Natanguliza shukrani zangu.