hotel mjini dodoma

Chelenje

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
552
Reaction score
24
Wakuu natarajia kwenda mapumziko ya pasaka mjini dodoma,ni hotel gani inafaa kwa mapumziko na familia yangu,iwe sehemu tulivu,naomba ushauri
 
mmhh!!!

MMU, hivi ni nini maana yake na madhumuni yake???????
 
Wakuu natarajia kwenda mapumziko ya pasaka mjini dodoma,ni hotel gani inafaa kwa mapumziko na familia yangu,iwe sehemu tulivu,naomba ushauri

Unataka Hotel ya daraja gani? toa estimation ya uwezo wako kulipa kwa siku.
 
Wakuu natarajia kwenda mapumziko ya pasaka mjini dodoma,ni hotel gani inafaa kwa mapumziko na familia yangu,iwe sehemu tulivu,naomba ushauri

Nenda Dodoma Hotel. Pametulia na patakufaa kukaa na familia yako. Na una bahati Bunge limeisha maana Hotel huwa issue kipindi wabunge wakiwa huko Idodomya.
 
watu na kujiweka matawi sasa,..........
 
Wakuu natarajia kwenda mapumziko ya pasaka mjini dodoma,ni hotel gani inafaa kwa mapumziko na familia yangu,iwe sehemu tulivu,naomba ushauri
duh... kweli JF kiboko

sasa hata husemi uko mwenyewe, au la, budget etc

hay abana nenda dodoma hotel
 
duh... kweli JF kiboko

sasa hata husemi uko mwenyewe, au la, budget etc

hay abana nenda dodoma hotel

She's got the sweetest eyes I have ever seen... her youthful smile is lighter than light
...And all that I am, is just a human!

Kweli Mapenzi yana-run dunia!!

mmmh, i like the signature.

Nenda Kitonga Hotel.Ni mpya na ya kisasa.
 
Hotel kipemba kama hutaki NAM, pita chako ni chako au Saturday kwa nyama choma
 
Du mm najua kwa sasa ni KITEMBA HOTEL iliyopo barabara ya 7 na One way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…