Hotel karibu na uwanja wa ndege

Hotel karibu na uwanja wa ndege

Massa

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
709
Reaction score
887
Wakuu mamkwe anakuja kunitembelea mwanza anatokea mbeya kwa gari binafsi kesho yake anasafiri kwa precisionair ya saa 12 asubuhi. Je kuna hotel yoyote nzuri karibia na uwanja wa ndege dar es salaam au ndani ya uwanja ili asipate usumbufu na foleni za asubuhi.
Cc pdidy
 
Kuna Transit motel iko pale majumbasita, kama unatokea mjini kupitia pugu road, kuna mahali panaitwa njia panda ya segerea , Ni elf 20 tu, pazuri.
 
Kuna Transit motel iko pale majumbasita, kama unatokea mjini kupitia pugu road, kuna mahali panaitwa njia panda ya segerea , Ni elf 20 tu, pazuri.

huko mbali...akitoka airport tu upande wa pili wa barabara kuna njia mbovumbovu inangia ndani ndani ukivuka reli tu kuna transit motel ingine....five minutes walk from the airport
 
Kuna fq motel jirani na transit motel ya airport chumba ni elf 70
 
Transit Motel njia panda Airport imefanyiwa ukarabati sasa ipo pooowa.
 
Kuna Transit motel iko pale majumbasita, kama unatokea mjini kupitia pugu road, kuna mahali panaitwa njia panda ya segerea , Ni elf 20 tu, pazuri.

Siyo njia panda ya segerea, ni njia panda ya u/ ndege. kama unatokea g/mboto upande wa kushoto baada tu ya reli ya kati. Kwa kweli ni pazuri na patulivu.
 
Siyo njia panda ya segerea, ni njia panda ya u/ ndege. kama unatokea g/mboto upande wa kushoto baada tu ya reli ya kati. Kwa kweli ni pazuri na patulivu.

Nafikiri wote mko sawa, kuna transit motel ndogo iko njia panda ya segerea na nyingine kubwa iko njia panda ya airport kama unaelekea karakata
 
Back
Top Bottom