Mwenye ufaham wa hotel nzuri maeneo ya Nyegezi naomba anifahamishe
kuna richmond,kumalija,tema,meza,
Kwa bajeti yako Passion Hotel itakufaa, chumba cha single self container lakini hakina tv Tsh 15000,ipo mita kama 60 toka stand.Nina safari ya kwenda dar,na ninapotoka ni mbali hivyo nataka nilale lodge au hotel nzuri hapo nyegezi, kama kuna mtu anafahamu hotel nzuri naomba anifahamishe budget( 10,000 - 15,000).
Wewe kweli mkazi wa Mwanza... Zote umemalizanyegezi ya mwanza au? km ni mwanza zipo nyingi kuna kumalija hotel,passion hotel,tulale lodge,millenium hotel,cosmopolitan hotel,magida hotel na kilimanjaro hotel(hapa kuna night club unakula bata mpka asubuhi) zipo nyingi sana
He! wadada wa mikoani mna shida..itakuwaje akitolewa mkuku na mumeo? au wanaume wa mikoani hawana shida!?Fikia kwangu hiyo hela unipe
Plasma ipo mbali kule....nyegez konaaPlazma hotel.
Kwako wewe hupokei wageni kisa umeoa?He! wadada wa mikoani mna shida..itakuwaje akitolewa mkuku na mumeo? au wanaume wa mikoani hawana shida!?
Usijali mamie njoo nitakupokea bado sijaoa.Ushawahi kulaga pweza? basi ukija nitakutengenezea.Kwako wewe hupokei wageni kisa umeoa?