Hotel au Guest house nzuri Morogoro mjini

Hotel au Guest house nzuri Morogoro mjini

infantrier

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
343
Reaction score
126
Wakuu,

Naomba kufahamishwa sehemu nzuri ya kufikia hapo Morogoro. Hotel au Guest house ya uhakika yenye huduma nzuri ,ulinzi na usalama wa mteja.
 
Kuna moja iko mjini karibu na nmb bank eneo linaitwa vibandani mi mpya inaitwa city dream in pazuri sana pametulia IPO karibu na dolphin inn
 
Ahsanteni mliochangia nitafuatilia zote hizo,nifahamu zaidi.
 
Kingsway, midland, gwami, hizi zote zipo msamvu..

Ukija mjini kuna toplife, machale, nashera, morogoro hotel, hizo hapo zinakutosha
 
Kingsway, midland, gwami, hizi zote zipo msamvu..

Ukija mjini kuna toplife, machale, nashera, morogoro hotel, hizo hapo zinakutosha

Ahsante ,umemaliza . Iliyobaki kazi kwangu
 
Nenda Nashera hotel pako safi sana vyumba vipo vya 200,000 na vya 400,000. Kama hela zako ni za badafu nenda Kingsway Msamvu ni fifty tu.
 
usisumbuke mkuu, hapa mjini ipo moja inaitwa kaumba lodge!! huduma zote muhimu kwa wagen zipo yaan huduma zoote!! karibu sana
 
usisumbuke mkuu, hapa mjini ipo moja inaitwa kaumba lodge!! huduma zote muhimu kwa wagen zipo yaan huduma zoote!! karibu sana

hataushau mji, ataondoka na furaha tele.
 
Mara ya mwisho kwenda Moro nililala Usambara sa sijui kama bado ipo? Ni mita chache kabla hujafika msamvu.
 
Sweet Africa lodge ipo msamvu stand kwa nyuma n 25,000 kama sijakosea
 
Gronecy,gwami kingstone au kama wewe ni mfuasi wa magamba nenda usambara au motel 8 8.
 
Back
Top Bottom