Wakuu wiki ya pili hii siioni hot talk. Ni kwamba haipo au?
Wakuu wiki ya pili hii siioni hot talk. Ni kwamba haipo au?
Anzisha na wewe tu hii ni forum huru fanya unachojisikia hata ukitaka iwe kila siku we fanya hot talk
Natamani ingetokea hot talk ya kuchambua siasa ingekua tamu zaidii
labda imejificha ndio maana huioni hiyo hot talk...
Hofu yangu ndio ipo hapo hasa ukizingatia tulikuwa tunasubira nyangumi miongoni mwa manyangumi ya MMU liletwe kwenye kiti
Ya siasa tena????? si tutasinzia best
Did you really think that drivel was going to be sustainable?
Mi napenda hhhaa
Mmmmh!!! ww na siasa??? au umbea wa siasani?
Hofu yangu ndio ipo hapo hasa ukizingatia tulikuwa tunasubira nyangumi miongoni mwa manyangumi ya MMU liletwe kwenye kiti