achana na huyo jamaa tupe uhondo weka hata zote.kwanza huyo goole ni muongo kwa nini atuambie kuwa hadith bado inatungwa
kumbe yeye mwenyewe ana ikopi kutoka sehemu nyingine
achana na huyo jamaa tupe uhondo weka hata zote.kwanza huyo goole ni muongo kwa nini atuambie kuwa hadith bado inatungwa
kumbe yeye mwenyewe ana ikopi kutoka sehemu nyingine.wewe endelea kutupa uhondo malizia zote zilizo baki
Nilijua tu haya yatatokea kama yalivyotokea kwa mizambwa, huyo kama alikuwa nayo tangu mwanzo why hakuileta hapa mapema, hadith imefika sehemu ya 29 ndio anaibuka! google2014 endelea kutuletea hadithi, yule amesema haileti, malizia tu ndg yangu