Halafu ukome kuniita dogo ujue Mimi ni baba yako na huna cha kunifanya mropokaji wewe usiyejua maadili na miiko ya mitandaoniAlafu we dogo haujitaki nini? Naona unanifuatilia saana. Umejichoka eh?
Jamani tupo hapa kujifunza. Pendeni kusameheana ndugu zanguHalafu ukome kuniita dogo ujue Mimi ni baba yako na huna cha kunifanya mropokaji wewe usiyejua maadili na miiko ya mitandaoni
Safi sanahawa watu huwa wanabobezwa kwenye taaluma ya mauzo(sellings), wana sells kwa kila idara a ndo maana hata watu wanakuwa interested na kitengo, ila kiuhalisia kuna vitu extra ambao hata wao hawavijui ambavyo baadae vinawaacha kuwa matahira.. ili habar ziwe classified.. ila pia ambapo mbinu hizo hizo zitatumiwa na watu binafsi kwa minajili ya kukuza uchumi au biashara binafsi mafanikio makubwa yatapatikana... ila ikitumika kifisadi au kwa kulaghai pia malengo yatatimia...
kukusanya taarifa na kuzifanyia kazi ndo jambo muhimu bila kudhuriwa na taarifa hizo.
Ngoja na Mimi niwe na multiple IDJamani tupo hapa kujifunza. Pendeni kusameheana ndugu zangu
Una maana gani?Ngoja na Mimi niwe na multiple ID
Wenye jicho la tai tumeisha ona kijimutego...!Kwa hiyo mimi ni mwanaume? We mkaka vp? Huoni unatudhalilisha sisi akina dada kwa kutufananisha na wanaume?
Multiple ID means hiyo avatar ni wewe??Una maana gani?
Ni ngumu kwa spy mzoefu kumchunguza kwa kutumia ngono..! Labda ngono inatumika na spy kupata taarifa za adui asiye spy..!What I meant ni ngono kutumika kama mtego/ulimbo/chambo. .....mbinu hii inafanya kazi since the creation of this World mpaka sasa inaendelea kufanya kazi....and with the way things are going it looks like itaendelea kufanya kazi mpaka mwisho wa dunia.... (sex+money+power=life reality kwa sasa)
Kwa huo mtego hata selule la namna gani hawampatiWenye jicho la tai tumeisha ona kijimutego...!
Ni ngumu kwa spy mzoefu kumchunguza kwa kutumia ngono..! Labda ngono inatumika na spy kupata taarifa za adui asiye spy..!
Mambo vpSafi sana
Ingia inbox yako kuna link nimekutumiaMambo vp
Kwa huo mtego hata selule la namna gani hawampati
Mkuu kiswahili changu ni kibovu sana sijui umoja na wingimelkiorysaranga ,
Mkuu, samahani nisaidie maana ya neno *selule* au wingi wake huwa wanaandika *Maselule* yaani sijui ila neno hili naliona mara kwa mara hapa JF!
Umewajuaje???Sijaona tofauti kati ya mleta uzi na nyinyi wawili