Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,600
- 5,724
Dogo ni mkali mnampa ngapi wakuu Edm anakuja under ground.
Anaitwa nan mkuu .. social media zake tum follow.. jamaa anajua aiseView attachment 3237705 Wakwetu katuwakilisha anapaswa kushikwa mkono
Ni dogo mgeni kabisa niko naye kariakoo sikuamini kama ni yeye mkuu. Ngoja nimuulize kaka.Anaitwa nan mkuu .. social media zake tum follow.. jamaa anajua aise