Hot Cake Course in Tanzania!....

Hot Cake Course in Tanzania!....

Joined
Oct 6, 2015
Posts
28
Reaction score
11
Habari Wasomi.

Naomba kufahamu juu ya kozi gani fupi au kozi ndefu katika vyuo ambayo unayoweza kusoma na kukupa ajira ya mapema zaidi hapa nchini?

Natanguliza shukrani zangu.
 
Dah! Tusidanganyane kwa sasa hivi kusema usome halafu uje upate kazi ya ajira moja kwa moja kitu hicho hamna hao watu wa afya na walimu basi pia wanasota saivi
 
Dah! Tusidanganyane kwa sasa hivi kusema usome halafu uje upate kazi ya ajira moja kwa moja kitu hicho hamna hao watu wa afya na walimu basi pia wanasota saivi
Hiyo ya monchwari ni mbilikwambili maana sio mojakwamoja
 
Labda Forex au betting mkuu ila kwa kozi mh graduates ss hv wamefurika na kazi hawana.
 
Kwa upepo ulivyokaa siku hizi, tunaposoma tuwe tunawaza zaidi kutengeneza connections za kutafuta hela nje ya ajira rasmi ya mambo tunayokuwa tunayasomea.
 
Back
Top Bottom