Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 682
- 873
Hostel mpya kwa wasichana. Iko Magomeni Kanisani (aka Morocco Hotel).
Iko eneo tulivu na salama, mwendo wa dakika kama mbili hivi kutoka kituo cha mwendokasi cha Magomeni Kanisani.
Ina uzio, geti, tenki la juu la kuhifadhia maji na soketi za nje za umeme ili mtu asipate shida ya kuchaji simu au laptop akikaa nje kujisomea.
Kupika inaruhusiwa. Na kwa wasiopenda kupika kuna sehemu nyingi tu maeneo ya jirani za kula ambapo utapata vyakula vyote vya kila siku vya Tanzania.
Choo na bafu ni kipya kinang'aa. Unaoga kwa starehe zote bila hofu ya kupata fangasi.
Na sink la choo ni lile la kuchutama tundu la kujificha. Maji machafu hayakurukii ukiwa unajisadia. Na linapunguza uwezekano wa kuambukizwa magonjwa kama UTI.
Maji ni ya DAWASCO; sio ya chumvi/kisima.
Bei ya kitanda ni Tshs. 50,000/- kwa mwezi. Inajumuisha na bili ya DAWASCO tu. Umeme ni wa LUKU mnachangishana.
Kuna vyumba vya watu wawili, wanne, na sita. Choo kimoja wastani kinahudumia watu nane.
Malipo ni kuanzia miezi minne.
Kama umeielewa karibu sana uwahi nafasi ni chache.
Simu yangu ni sifuri-saba-nane-tano-tatu-moja-sita-sita-mbili-nne