Jackie Joe
New Member
- Aug 30, 2019
- 2
- 0
[emoji23][emoji23][emoji23] vijana hua mna kwama wapi
Unataka umfanyaje uyo jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo ukae kwangu Malimbe bure tuyajenge
Kama ukiwahi kwenye usajili lazima upangiwe room hostel ya ndani...cha kufanya chelewa kama wiki mbili hivi ili ukute hostel zimejaa.Naomba kuulza kukaa hostel za ndan Saut ni Lazima au??
Okay kijana..masomo mema.We nae umetekenywa au