Mkuu vip first year bachelor wanaume??Wanaokaa hostel DIT main campus n diploma na B.Eng mwaka wa mwisho na B.Eng first year wanawake
Mkuu vip first year bachelor wanaume??
Kama Box lako ni la mkoani uwe mwanamke au mwanaume haukai ndani utakaa hostel za nje zipo chang'ombe karibu na chuo cha duce then kama ni mwanaume mwaka pili hutapata hostel mpaka mwaka wa mwisho na si lazima cuz wanapataga wachache tu ila kama ni mwanamke utapata ndani baada ya kuanza mwaka wa pili mpaka mwaka wa mwishoWakuu msaada kuhusu utaratibu wa kupangiwa hostel za ndan ya chuo kwa wanafunzi wa DIT (level ya degree) ukoje? au nao wanawapa kipaumbele wanafunz wa first year? msaada please
Wapo beng first year wanaume wanaokaa main ila ni block 3 na 1Wanaokaa hostel DIT main campus n diploma na B.Eng mwaka wa mwisho na B.Eng first year wanawake
Mkuu vip kuhusu suala la kubebana? madogo wa diploma wa mwaka wa tatu huwezi kufanya nao mchongo wakakubeba? au sheria ni kali sanaHostel nichache sana sana utaishia kupangiwa block 3 ukae na madogo wa od mwaka wa pili,,,,na block hilo kila room ina vitanda kumi hakuna ulinzi kwahiyo ni tatizo
Sheria hairuhusu,lakini wanabeba,,,,kikubwa ni kuwahi tu kutafuta mtu wa kukubebaMkuu vip kuhusu suala la kubebana? madogo wa diploma wa mwaka wa tatu huwezi kufanya nao mchongo wakakubeba? au sheria ni kali sana
Block 3 huwa wanakaa wale wenye Mahitaji Maalum kama Wagonjwa, Vilema, na wenye Ualibino.Wapo beng first year wanaume wanaokaa main ila ni block 3 na 1
Suala la Kubebana kwanza ni Kosa Sheria kwa sababu hawaruhusu watu wawili kulala kwenye Kitanda kimoja!.Mkuu vip kuhusu suala la kubebana? madogo wa diploma wa mwaka wa tatu huwezi kufanya nao mchongo wakakubeba? au sheria ni kali sana
Suala la Kubebana kwanza ni Kosa Sheria kwa sababu hawaruhusu watu wawili kulala kwenye Kitanda kimoja!.
2) Pili Suala la Kubebana ni maelewano kati ya mtu na mtu yaani Mbebaji na mbebwaji.
asante mkuuSheria hairuhusu,lakini wanabeba,,,,kikubwa ni kuwahi tu kutafuta mtu wa kukubeba