HOSPITALI ZIACHE UTAPELI

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
857
Reaction score
2,289
Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili.
Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa.
Mfano ukienda gereji na gari lako, fundi akalitengeneza lakini likashindikana kuwaka unachukua gari lako free.
Njia sahihi ilitakiwa hospitali irudishe gharama alizotumia mgonjwa pale wanaposhindwa kumtibu.
Tushirikiane kupinga huu uhuni.
 
Sasa ikiwa hivo itafanya wasiwe wanawatibu wagonjwa wenye hali mbaya sana maana uwezekano wa kupona au kufariki ni sawa sawa. Utajisikiaje umepeleka mgonjwa wako halafu wakuambie “huyu hatuwezi kupoteza nguvu muda na resource zao kwa sababu atafariki?
 
Reactions: Lax
we ni wa imani gani mkuu?
 
naam
 
Kama wanajua atafariki wamkatae afie nyumbani
 
Hospitali hutoza gharama kulingana na huduma walizotoa (vipimo, dawa, uangalizi) Hata kama mgonjwa amefariki, rasilimali zilitumika na wafanyakazi walifanya kazi yao.
 
Reactions: Lax
Wenzio wanatumia akili kwa mambo ya msingi ila wewe umeikalia.
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
📌📌📌📌📌📌📎📎📎

Mjadala na Uzi sasa Ufungwe
 
pelekeni mgonjwa wenu kwa waganga wa jadi wenyewe hawadai kama hospital.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…