Hospitali za Serikali kuna uzembe wa hali ya juu

Bullshit...cream kama hiyo inaingiaje kwenye inner ear hata kama ni middle ear, kwa nini asimpe ear-drops, makanjanja kama nyie ndo mnatupotezea muda kusoma upupu mnaoandika humu kila siku.
Unauhakika fungus zinatokea kwenye middle au inner ear? Fungus huwa ni ugonjwa wa external ear
 
Anyway, dawa nzuri ya fungus wa sikio inaitwa CANDIBIOTIC EAR DROPS. Nadhani daktari aliandika hiyo kisha mtoa dawa akajichanganya. Na hayo of course ni mambo ya kawaida tu kutokea mahospitalini, iwe private au serikalini.
Ulikuwa umemsimamia daktari na mtoa dawa ukaona hayo?
 
Unauhakika fungus zinatokea kwenye middle au inner ear? Fungus huwa ni ugonjwa wa external ear
Systemic mycoses zote huwa zinatokea kwenye external ear, siyo? hii medicine sijui huwa mnasoma wapi au nyie ndo mnaokariri hand-outs za lecturers ili mfaulu mitihani, probably mnasoma kwenye Universities zilizofunguliwa kama njugu mtaani baada ya kuanza kutolewa mikopo ya elimu ya juu.
 
Kwahyo tupo kwenye systemic mycoses or otomycosis ??
 
Systemic mycosis or otomycosis
Kama wewe ni daktari bingwa hujui hata hiyo otomycoses unayong'ang'ania inaweza ku-extend kuwa systemic, basi afya za wananchi zinazidi kuwekwa rehani, matatizo ya kusoma kwa kukariri siyo kuelewa..
 
Kila mmoja anahukumu bila kuwa na taarifa kamili. Huu si utaratibu wa watu wenye hekima. Siamini kama great thinkers wako hivyo.
 
kwahyo daktari alitembea na wewe hakufanyia kipimo cha tumbo kwa kukugusa na mikono?
Sasa kwa kugusa anajuaje?,maana tatizo halikuisha hata baada ya operation ndo nikajua niliingi wa chaka
 
Kiongozi kuwa makini na taaluma za watu
Siamini kabisa kuwa Dactari hata Med Asstangeweza kutoa hii dawa kwa ajili ya sikio
Unaweza kuweka picha ya cheti/maandishi ya Dactari yanayo elekeza kuwekewa hii dawa ndani ya sikio?
 
Anyway, dawa nzuri ya fungus wa sikio inaitwa CANDIBIOTIC EAR DROPS. Nadhani daktari aliandika hiyo kisha mtoa dawa akajichanganya. Na hayo of course ni mambo ya kawaida tu kutokea mahospitalini, iwe private au serikalini.
Ni kweli ibaonekana mtoa dawa alipitiwa kutokana dhiki walizonazo watumishi wa umma,mawazo mengi,madai yao mengi hayajalipwa
 
Mimi nilikuwa na vichomi upande wa kulia kwa chini tumboni,nikahisi appendix,,Dr alinipasua kunitoa appendix bila hata kunipima ultrasound..ili tu apate hela..
Tatizo huwa mnaenda hospitali na diagnosis zenu kichwan, utasikia mgonjwa anamwambia Dr " Hii ni Malaria kabisa Dr mm huwa najifahamu nikiumwa malaria" tena unakomaa kwelikwwli hutaki hata kusikia ushaur wa Dr, sasa kwa case kama hii kwann Dr asikuchape sindano za quinine hasa private.
 
Usilamu tu kwa ufahamu wangu mimi nahisi kulikuwa na tatizo kwenye either
Dirisha la dawa
Au dr but all in all ni kutingwa tu


Badala ya kukupa drops akakupa ointment kosa na kawaida kwenye topical drugs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…