Hospitali ya Wilaya ya Tarime kuna tatizo kubwa

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,090
Haya ninayo yasema ni kweli, mgonjwa akilazwa pale hakuna cha bure, hata kama anabima anaambiwa dawa akanunue hadi panadol!!

Nililazwa pale mwezi Jana, nikajua kwa kuwa ninabima huenda baadhi ya dawa nitapewa bure!!! Cha kushangaza kila dawa naambiwa nikafuate Winfrida Pharmacy !!! Hili ni duka la dawa lilipo mjini Tarime karibu na NBC BANK, sijui kuna uhusiano gani na hospitali ya Wilaya Tarime!!!

Usalama kama watasoma hili fuatilieni, hadi Gloves, siringi mgongwa ananunua mwenyewe!! mbaya zaidi mahitaji mengi hadi uende mjini upande boda boda!!!

MAYOR YUPO, DC YUPO, TED YUPO, MBUNGE YUKO DAR!!!, DIWANI WA BOMANI MASUBO YUPO!!! SASA TATIZO NINI?
 
Tatizo ni lile lile "Kushindwa kusimamia sera za afya na kuteua wasimamizi ambao kigezo kikuu ni uwe mwanachama wa chama husika, pesa hazitoki ipasavyo zimekazaniwa kwenye kujenga uwanja wa ndege ambapo mkandarasi ana undugu na mheshimiwa, na zingine zikitupwa kufuatilia mnyama faru john"

Kama umenielewa vizuri inamaanisha mnyama faru na wananchi huyo mnyama ana thamani kushinda wananchi.
 
Back
Top Bottom