Hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar

Hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar

doctor son

Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
93
Reaction score
68
Msaada kwa wanaoijua hospitali hiyo kwa wale wanaotarajia kwenda kufanya internship hospitali hiyo au km kuna hospitali kubwa na inayomfaa ndugu yangu akafanye zanzibar naombeni ndugu zangu msaada wenu natangulizs shukran
 
Hospital ipo Unguja, mkoa wa Mjini Magharibi katika wilaya ya Mjini. Ndio hospitali kubwa kwa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom