Hospitali ya mkoa Dodoma (general)

Hospitali ya mkoa Dodoma (general)

BACHELA

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
26
Reaction score
1
Hospital ya dodoma ni matatizo tupu tumekuja na mgonjwa tangu saa tano asubuh had sasa hajahudumiwa na kifua kimembana sana. Kulala wawili wawili matatizo tupu.
 
Huduma za afya tz......NI KWA NEEMA TU TU......NI KWA NEEMA TUUU...
 
Poleni tuvumiliane zote zipo hivyo kasoro private
 
walikuwa wanatoa chakula kwa wagonjwa waliolazwa, sasa hivi wanashindiliwa madawa bila kula, si unajua jamaa zetu dom ukame hakuna chakula? wanakufaje?
 
tuligoma mkasema sisi walafi......pinda akasema liwalo na liwe

Ngoja wajionee na huko walikolala wawili wawili muda wa ward round hata proper examination hakuna.....walituona twataka pesa tu haya sasa....
 
ulimboka alionekana msaliti!...
Bora my dad kastaafu,...serikali ya ...... hii
 
Poleni tuvumiliane zote zipo hivyo kasoro private

Huduma za afya tz......NI KWA NEEMA TU TU......NI KWA NEEMA TUUU...

tuligoma mkasema sisi walafi......pinda akasema liwalo na liwe

Hii ndo Tz


Kwa kadiri ya utafiti Dodoma ndo mkoa ulio hoi zaidi kwa huduma za kijamii hasa afya. Cha kushangaza ni kwamba ndiyo mkoa unaoongoza kwa kuunga mkono hii serikali iliyoshindwa na isiyo na dhamira ya kuleta nafuu ya watanzania. Deal with it my poor people until you wake up from your deadly sleep!
 
Poleni wagonjwa wote,
Poleni hata nyie madaktari mnaotibu watu
kwenye mazingira magumu.
 
Hayo ndio matokeo ya serikali inayoendeshwa kimagumashi. Utakuta hospitali kubwa kama hiyo ya Dodoma haina hata Nebulizer inayofanya kazi, unategemea nini mgonjwa aliyebanwa na kifua ahudumiwe ipasavyo?
 
Back
Top Bottom