Hospitali ya mkapa kupandiza uboho

teh..tet.. do! sikuelewa kabisa kumbe loh! hizi lugha zenu bana
 
ule ubongo wa yule jamaa anaevaa suruali kama pazia la mashine na maviatu kama mkambale au pande la sangara mkononi ilani wautoe kabisa waweke bisi/popcorn
 
Shemegi yako mke wa kaka yako akikwambia una matatizo ya uboho gafla unaskia kitasa kwa shavu la kushoto kumbe braza ako hajawai skia iko kitu.
 
Hahahahahaha

Huu uzi umenichekesha sana

Reactions za wadau

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kabla sijasoma maelezo niliangalia pcha ya hilo gazeti

nikajua huyo mama anamchagulia mumewe saizi ya uboho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…