Hospitali ya Bugando ni kero sana kwa sasa maana manesi na madaktari hawajali hata wagonjwa wenye hali mbaya kupewa huduma za haraka.
Nasema hivi kwa sababu wagonjwa wanaopewa rufaa kwenda Bugando wakiwa na hali mbaya wanakaa zaidi ya masaa matatu bila hata kupewa huduma wakati huyo mgonjwa amepelekwa hapo kwa gari la wagonjwa (ambulance) tena kwa mwendo mkali sana.
Hao wagonjwa hawaruhusiwi kukaa na ndugu hata kama hali ni mbaya kiasi gani na kudai kuwa hata kama anataka kukata roho lakini hairuhusiwi kubaki na mtu wodini.
Nasema afadhali wangefanya hivyo endapo wangekuwa wanawajali wagonjwa ila sasa majibu yao ni ya kipuuzi kweli.