Hospitali ya Aga khan ipo wapi?

Gilbertlit

Member
Joined
Jun 10, 2021
Posts
25
Reaction score
10
Wakuu Habarini za muda huu, naomba kuuuliza eti Hospitali ya Aga khan ipo

Wilaya gani ?
Tarafa gani ?
Kata gani ?
Mtaa gani ?

Nina jaza form ya interview hapa sasa nimekutana na ilo swali, maana nimezaliwa hapo ila sijui sasa hizo taarifa.

Naombeni MSAADA wenu ndugu.
 
Wewe umezaliwa hapo wapi?

Aga Khan ipo mikoa mbali mbali Tz.

Ipo Dar, Tanga, Arusha

So swali lako ni too general
 
Google..utapata details zote. Ila mambo ya tarafa hakuna siku hizi...ni wilaya, kata, mtaa...
 
Hujasema ulipo Ili usaidiwe, vinginevyo tumia Google map kuitafuta aga Khan eneo ulipo
 
Wilaya ilala
Kata:kivukoni
Tarafa;upanga
Mtaa kivukoni(ocean road)
 
Maswali ya namna hiyo yanakutaka utaje sehemu uliyozaliwa kwa kutumia mfumo wa post codes ambao unatumika kwenye anuani ya makazi.....Hata hivyo huo mfumo haujatumika kikamilifu ..... zaidi ya mbwembwe za hapa na pale.... Mdau @ Kabombe amekujibu ipasavyo.
 
Ipo wilaya ya ilala, kata ya kivukoni, mtaa wa ufukoni na Barack Obama drive
 

Unapoulizwa umezaliwa wapi, mara nyingi wanataka kujua makazi ya mzazi/wazazi wako walipokuwa wakiishi wakati ukizaliwa na si kujua mahali hospitali uliyozaliwa ilipo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…