Hospitali aliyozaliwa Baba wa Taifa hatarini

Hospitali aliyozaliwa Baba wa Taifa hatarini

Mrsirlum

Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
17
Reaction score
2
Hospitali ya ILiyozaliwa hayati Mwalimu Julias kambarage Nyerere sasa ipo hatiani kwa kukuosa maji kwa ajili ya huduma za kilasiku juu ya wagonjwa.Hii ilidhibitishwa hapo jana na vyiombo vya habari
 
Mbona hospitali nyingi tu zina tatizo kama hili!!
 
Hospitali ya ILiyozaliwa hayati Mwalimu Julias kambarage Nyerere sasa ipo hatiani kwa kukuosa maji kwa ajili ya huduma za kilasiku juu ya wagonjwa.Hii ilidhibitishwa hapo jana na vyiombo vya habari
Heh ndo nini sasa! Hatiani??????
 
Hiyo mbona siyo breaking news! Huku kwetu tumeshazowea, ukiwa na mgonjwa aliyelazwa hospitali unapeleka maji kwa ajili ya matumizi ya mgonjwa wako. Tumeshachoka na serikali ya magamba. Sisemi mengi ntalia!
 
Hospitali ya ILiyozaliwa hayati Mwalimu Julias kambarage Nyerere sasa ipo hatiani kwa kukuosa maji kwa ajili ya huduma za kilasiku juu ya wagonjwa.Hii ilidhibitishwa hapo jana na vyiombo vya habari

hivi nyie mbona mnakurupukaga sna utadhani mnaoga nje bana..sasa mwalimu nyerere ndo nini sasa?bona hamsemi ikulu aliyokaa mwalimu nyerere pale magogoni imejaa wezi siku hizi?
 
Of course it is breaking newss but not news!
 
hii sio breaking news mkuu!ni kawaida kabisa!kjjn kwetu mkeo akiwa mjamzito ni lazima uwe na karabai standby na madumu mawili ya lita 20!bongo tambarare bwana
 
Sa kama alizaliwa mwl ndo nn? Au we unadhani sisi hatukuzaliwa?
 
Rais ameweza kukaa nchini mwezi moja bila kusafiri.
Hi je ni breaking news??????
 
Back
Top Bottom