ween JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 414 Reaction score 130 Jan 11, 2021 #1 Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hapa. Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie.
Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hapa. Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie.
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,877 Reaction score 10,214 Jan 11, 2021 #2 ween said: Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hpa. Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie Click to expand... watakuja mkuu mie na wife tunatumia bima na alitumia bima wakati wa kujifungulia hapo,wako vzuri sana huduma zao na wana care mno wateja wao (wagonjwa) mkeo anajifngua like a quen
ween said: Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hpa. Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie Click to expand... watakuja mkuu mie na wife tunatumia bima na alitumia bima wakati wa kujifungulia hapo,wako vzuri sana huduma zao na wana care mno wateja wao (wagonjwa) mkeo anajifngua like a quen
T Tongo Elamu JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 2,904 Reaction score 4,407 Jan 11, 2021 #3 ween said: Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hpa. Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie Click to expand... Hii ni hosptali mpya?
ween said: Natumani tumeunza mwaka salama , ndg zangu naomba mwenye makala yanayoielezea hosptali ya indumandal kwa lugha ya kiswahili aniwekee hpa. Pia naomba kwa anaefahamu gharama zao za kujifungua kwa wasiotumia bima anisaidie Click to expand... Hii ni hosptali mpya?
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,113 Reaction score 3,471 Jan 12, 2021 #4 Hii hospital c ndo ipo kariakoo??????
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,647 Reaction score 196,317 Jan 12, 2021 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,972 Reaction score 22,437 Jan 12, 2021 #6 Shree Hindu MandalDar es Salaam HospitalNyanza / India St. P O Box 581 Ilala CBD Dar es salaam +255 22 2114991-4 +255 682 052 342 dsmhospital@hc.shm.or.tz
Shree Hindu MandalDar es Salaam HospitalNyanza / India St. P O Box 581 Ilala CBD Dar es salaam +255 22 2114991-4 +255 682 052 342 dsmhospital@hc.shm.or.tz