Naiomba mamlaka husika kutafuta namna ya kwaadhibu madereva hasa DAR wasiojua kutumia HONI ipasavyo , pia nawasihi madereva kuwa wastaarabu barabarani HONI zimekuwa chanzo kikuu cha uchafuzi wa mazingira(kelele).
Naunga mkono hoja.Wapunguze upigaji wa honi au wawekewe sauti lainilaini za kuwaarifu watu barabarani kuwa kuna chombo kinajongea.Siyo makelele makali mji mzima...pwempwereeeeeeeee!!Hahahahaaaa!