HORMONAL INBALANCE

HORMONAL INBALANCE

Joined
Jan 16, 2019
Posts
18
Reaction score
3
[emoji98]HORMONE INBALANCE
[emoji97]Nimvurugiko wa(hormonal inbalance)ni hali ambayo inatokea kwenye mfumo unaohusika urekebishaji was hormon Kuvurugika/kutokuwa sawa.



[emoji98]CHANZO CHA HORMONAL INBALANCE

[emoji97] ujauzito/mimba.
[emoji97]ukomo wa hedhi kwa umri wa miaka 45.
[emoji97]matumizi tofauti ya uzazi wa mpango.
[emoji97]kisukari.
[emoji97]matatizo ya moyo.
[emoji97]wasiwasi/msongo wa mawazo.
[emoji97]goita.
[emoji97]umri mkubwa.
[emoji97]mfumo mbaya wa maisha.
[emoji97]uwepo wa sumu nyingi mwilini.
[emoji97]kansa/saratani.



[emoji98]DALILI ZA MWANAMKE MWENYE TATIZO LA HORMONES INBALANCE

[emoji97]kukosa hedhi.
[emoji97]hedhi kubadilika badilika.
[emoji97]kuingia hedhi muda mrefu.
[emoji97]Maumivu maksli ya tumbo wakati wa hedhi.
[emoji97]kuongezeka na kupunguza(kunenepa na kukonda Sana)
[emoji97]kupata Maumivu wakati wa tendo.
[emoji97]kusikia kiu Mara kwa Mara Kama mtu mwenye kisukari
[emoji97]kuota ndevu kwa mwanamke.
[emoji97]kukosa choo.
[emoji97]Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
[emoji97]kukosa usingiz.[emoji97]kutoka jasho na vipele/chunusi usoni.

[emoji98]MADHARA YA HORMONE INBALANCE

[emoji97]kutosha mimba
[emoji97]mimba kuharibika
[emoji97]kukosa mtoto au ugumba
[emoji97]Maumivu wakati wa tendo la ndoa
[emoji97]kuwahi na tabia au maumbile ya kiume
[emoji97] UTI (urinary track infection) Mara kwa Mara
[emoji97]kuzeeka mapema
[emoji97]kuziba kwa mirija ya uzazi
[emoji97]uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (fibroids au cysts
[emoji97]saratani

Niliyoandika Kama ni muhanga nitafute nikuhudumie utaenda Kuwa sawa Wenda unayoipitia yamesahabishwa na hi shida [emoji338]0717566549/0765462490 follow @afyamwanamke kupata mengi kuhusu afya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom