victoria nchimbi
Member
- Jan 16, 2019
- 18
- 3
HORMONE INBALANCE
Nimvurugiko wa(hormonal inbalance)ni hali ambayo inatokea kwenye mfumo unaohusika urekebishaji was hormon Kuvurugika/kutokuwa sawa.
CHANZO CHA HORMONAL INBALANCE
ujauzito/mimba.
ukomo wa hedhi kwa umri wa miaka 45.
matumizi tofauti ya uzazi wa mpango.
kisukari.
matatizo ya moyo.
wasiwasi/msongo wa mawazo.
goita.
umri mkubwa.
mfumo mbaya wa maisha.
uwepo wa sumu nyingi mwilini.
kansa/saratani.
DALILI ZA MWANAMKE MWENYE TATIZO LA HORMONES INBALANCE
kukosa hedhi.
hedhi kubadilika badilika.
kuingia hedhi muda mrefu.
Maumivu maksli ya tumbo wakati wa hedhi.
kuongezeka na kupunguza(kunenepa na kukonda Sana)
kupata Maumivu wakati wa tendo.
kusikia kiu Mara kwa Mara Kama mtu mwenye kisukari
kuota ndevu kwa mwanamke.
kukosa choo.
Maumivu ya tumbo chini ya kitovu.
kukosa usingiz.
kutoka jasho na vipele/chunusi usoni.
MADHARA YA HORMONE INBALANCE
kutosha mimba
mimba kuharibika
kukosa mtoto au ugumba
Maumivu wakati wa tendo la ndoa
kuwahi na tabia au maumbile ya kiume
UTI (urinary track infection) Mara kwa Mara
kuzeeka mapema
kuziba kwa mirija ya uzazi
uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (fibroids au cysts
sarataniNiliyoandika Kama ni muhanga nitafute nikuhudumie utaenda Kuwa sawa Wenda unayoipitia yamesahabishwa na hi shida
0717566549/0765462490 follow @afyamwanamke kupata mengi kuhusu afya yakoSent using Jamii Forums mobile app