Hormonal control of spermatogenesis

Umenikumbusha reproduction miaka 14 iliyopita nikiwa na BS (Biological Science), dah time flies!
 
Umenikumbusha reproduction miaka 14 iliyopita nikiwa na BS (Biological Science), dah time flies!
Umenikumbusha reproduction miaka 14 iliyopita nikiwa na BS (Biological Science), dah time flies!
Inataka moyo mkuu.

Reproduction mwenzake genetics,topics ndefu balaa.

Halafu una mikate ya kutosha inatakiwa isomwe,BS,Sylvier madder,understandingbiology,campbell and so on.

Daa inahitaji moyo msuli wa advanced level.
 
Hahahahahahaaaa, nilikonda balaa enzi hizo ikafika stage mpaka mtu akipata zero ya PCB nikawa simshangai! But I thank God nilifaulu vizuri! Mpaka leo shule ya AL level huwa naiheshimu sana na kwangu naiona ngumu zaidi hata ya chuo kikuu! Chuo usomaji wangu haukuwa serious kama wa A level, dah!!!!
 
A-level si mchezo.

Hasa uchukue PCB,PCM na PGM.

Si mchezo hapo lazima ukaze.

nilisoma na jamaa yangu alitoka na one ya 10 O-level akajua A-level mteremko.

Matokeo yake ya mwisho mpaka leo haamini kama ni yeye ndiye aliyefanya mtihani.
 
Hahahahahahaaaa, halafu matokeo ya O Level huwa yanadanganya sana! Nilikuwa nabeba masoma 10 O level nikafaulu, kuingia A Level nikajua masoma matatu tu nikijumlisha na GS/BAM basi naenda Ku perform wonders, dah, nilipoukuta ule mziki nikasema naomba Mungu nisije nikapata zero nikawa kituko huko kijijini! Kwa kweli huwa sisahau, hahahahaaaa!
 
Ni kweli matokeo ya O-level yanawadanganya na kuwapumbaza wanafunzi wengi waliomaliza O-level kwa one za kutisha.

Mwisho wa siku wanajikuta wana matokeo mabaya au ufaulu wa wastani kuliko hata waliongia advance na 3 au credit tatu kwa shule binafsi.
 
Samahani Mwalimu hivi ile course inayohusu OPERATION YA UBONGO ..(URO SURGERY ).inaitwaje na je ipi hapa Tanzania (universities)???...Help please! !!
 
Samahani Mwalimu hivi ile course inayohusu OPERATION YA UBONGO ..(URO SURGERY ).inaitwaje na je ipi hapa Tanzania (universities)???...Help please! !!
Unayotaka wewe ni NEUROSURGERY na siyo UROSURGERY.

Urosurgery haiusiki na upasuaji wa mfumo wa kati wa fahamu(CNS) ikihusisha ubongo.

Urosurgery ina deal na upasuaji wa yote yahusuyo mfumo wa mkojo.
 
Unayotaka wewe ni NEUROSURGERY na siyo UROSURGERY.

Urosurgery haiusiki na upasuaji wa mfumo wa kati wa fahamu(CNS) ikihusisha ubongo.

Urosurgery ina deal na upasuaji wa yote yahusuyo mfumo wa mkojo.
..Yap hiyo hiyo NEUROSURGERY. (CNS)...Naomba fahamu vyuo vinavyoitoa na kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…