Hooooooooo Mooooooly snap....

Akienda msalani inakuwaje kujiswafi? Afroie tuwekee picha anapokuwa msalani tafazali........

hahahahah duuhh

ngoja niwatume Paparazi wangu ...
Babu unavituko wewe..
 
Hizo sio kucha halisi navyoona kha??!! Hili jukwaa akabidhiwe AD naona siku hizi anakesha huku
 
Wakikutumia uniletee, niko kule jiukwaa la Maria Roza.[/QUOTE]

Ntafuata maalekezo babu ...
unifungulie geti nkigonga ..
Kwa hiyo wahitaji za chooni yu??
 
Hizo sio kucha halisi navyoona kha??!! Hili jukwaa akabidhiwe AD naona siku hizi anakesha huku

hey sis,
mambo vipi ..
Duhhh naona unataka kunipa uridthi ..
Haina neno inabaki kwenye familia lol

Hizo ni kucha zake kabisa sis...

Vipi ulienda home??
 
Hivi Afro.....sijaelewa......huyu ni mwanaume au mwanamke....nataka nipate uhuru wa kuchangia vizuri....
 
na kweli....sasa tumepata majukwaa mawili....lile la Maria Roza na jukwaa la Afrodenzi......

hahahahahah , Preta bana mie kule sio mwenyeji sana, nachunguliaga tu teh tehteh lol🙂

Hivi Afro.....sijaelewa......huyu ni mwanaume au mwanamke....nataka nipate uhuru wa kuchangia vizuri....

dahhhhh Ni mdada huyo my dear .. African America ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…