Ndio zipo..kuanzia GPA ya 3.8 hadi 5.0 kwa kozi yeyote..kila chuo zinatolewa.
Faida yake ni kwamba ukija baadae kuchukua masters utaruhusiwa kufundisha chuo
Honours ni degree mtu anayoipata akiwa na GPA kali ambayo amemaintain high pass mark tangu mwanzo wa masomo yaani distinction-Kwa kilatini Suma cum Laude.
Honorary ni degree mtu anapewa kwa heshima kulingana na wadhifa au mchango wake kwa Jamii.Nyingi huwa ni PHD wanata udaktari wa heshima wa Falsafa
Ndio zipo..kuanzia GPA ya 3.8 hadi 5.0 kwa kozi yeyote..kila chuo zinatolewa.
Faida yake ni kwamba ukija baadae kuchukua masters utaruhusiwa kufundisha chuo