Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,529
- 9,407
Nilidhani kuna punguzo la garama kwa watumiaji kumbe ndiyo yale yale. Garama zipo juu na hii waliokuja nayo ni kichaka kingine cha kutuumiza tu hamna jipya. Toka nisikie 4g mpaka sasa 5g sijaona chochote kile mtandao slow na wizi wizi unaweka bando dk hiyo hiyi message limeisha.Wakuu Nichukue nafasi hii kuwapongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Esim akiwa wa Pili baada ya airtel kutangulia Miezi kadhaa iliyopita ni hatua nzuri sana, Sasa ni wakati wa tigo na Halotel kuleta hii huduma pia
Faida za Esim unaweza kuwa na Line Kumi kwenye Simu moja, Kama simu yako ni Dual utakachokuwa unafanya ni Kuswitch tu Mtando upi unaona mahala hapo coverage yake ipo Super, Mfano mimi namba yangu Kuu ni TTCL hio ndio nafanyia Mawasiliano ya Sms na calls ila linapokuja swala la Internet ntaswich mtandao wowote kutegemea na Eneo nilipo na Coverage, Faida ya Esim ni kuwa namba za mitandao yote zitakuwa kwenye Simu yani simu inaweza kuwa na Line 5 za mitandao yote, Ijapo ntaswitch Line Mbili at a time
Huu Uzi bado haujakaa kichwaniWakuu Nichukue nafasi hii kuwapongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Esim akiwa wa Pili baada ya airtel kutangulia Miezi kadhaa iliyopita ni hatua nzuri sana, Sasa ni wakati wa tigo na Halotel kuleta hii huduma pia
Faida za Esim unaweza kuwa na Line Kumi kwenye Simu moja, Kama simu yako ni Dual utakachokuwa unafanya ni Kuswitch tu Mtando upi unaona mahala hapo coverage yake ipo Super, Mfano mimi namba yangu Kuu ni TTCL hio ndio nafanyia Mawasiliano ya Sms na calls ila linapokuja swala la Internet ntaswich mtandao wowote kutegemea na Eneo nilipo na Coverage, Faida ya Esim ni kuwa namba za mitandao yote zitakuwa kwenye Simu yani simu inaweza kuwa na Line 5 za mitandao yote, Ijapo ntaswitch Line Mbili at a time
Kwa jinsi ulivoielezea esim, ninaona haitakuwa na maajabu!Wakuu Nichukue nafasi hii kuwapongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Esim akiwa wa Pili baada ya airtel kutangulia Miezi kadhaa iliyopita ni hatua nzuri sana, Sasa ni wakati wa tigo na Halotel kuleta hii huduma pia
Faida za Esim unaweza kuwa na Line Kumi kwenye Simu moja, Kama simu yako ni Dual utakachokuwa unafanya ni Kuswitch tu Mtando upi unaona mahala hapo coverage yake ipo Super, Mfano mimi namba yangu Kuu ni TTCL hio ndio nafanyia Mawasiliano ya Sms na calls ila linapokuja swala la Internet ntaswich mtandao wowote kutegemea na Eneo nilipo na Coverage, Faida ya Esim ni kuwa namba za mitandao yote zitakuwa kwenye Simu yani simu inaweza kuwa na Line 5 za mitandao yote, Ijapo ntaswitch Line Mbili at a time
Mimi nshawai kutumia esim kwa line ya airtel,sio lazima uwe na internet ndo uweze kuswitch line iliyounganishwa esimKwa jinsi ulivoielezea esim, ninaona haitakuwa na maajabu!
Kwanza inatumia internet, kwamba ni lazima upate internet ya mtandao unaotumia ndo uweze kuzifikia hizo line za e-sim.
Labda ni urahisi tu wa kushift kutoka line moja hadi nyingine. Lakini kama kila line ya e-sim itabidi ununue bando ndo utumie sioni kama ina maana sana, kwani nn tunakosa kwenye line hizi tunazotumia?
Labda ni kama tu ilivo telegram, we chat, fb nk? Hizi pia unapiga simu nk lakini ni mpaka uwe na internet.
Yaani hizi e-sim ukiachana na kubadilisha badilisha mitandao zina advantage gani kuliko line ya kawaida?
Ya kwangu mm naona bado inadai iongezewe esim number nyingine 🥲Ila bado simu zenye uwezo wa kuwa na line tano za esim hazijatoka
Simu za sasa zina uwezo wa kuwezesha esim kwa line moja tuu.... ,yan unakuta simu imekuja na single line tuu ila ina imei mbili ,imei moja kwa ajili ya physical line ,imei ya pili kwa ajili ya line ya esim
Zikija kutoka simu zenye uwezo wa line sita itakua unyama sana
Kwa hapa tz ni airtel na voda tuu ndo wamefanikiwa kuanzisha hii technologia mpya ya esim ,mitandao mingine bado
Simu gan hiyoYa kwangu mm naona bado inadai iongezewe esim number nyingine 🥲
SamsungSimu gan hiyo
Wamefanya jambo gani tufaidike wotePongezi nyingi kwao Vodacom..tuliwangojea kwa hamu👏👏👏
Nasikia hata ukiongeza sio zote 3 zitakuwa hewani at once.Ya kwangu mm naona bado inadai iongezewe esim number nyingine 🥲
Kumbe JF nitamu hivi kuliko Fb