Sijakuelewa kabisa.Mnaotetea NEC matumbo yenu yamejaa dhuluma na yanakaribia kupasuka, acheni upuuuzi!
Ukiwa unaishi kwa kutumia Akili za polepole ni vigumu kumuelewa, utakuja kumuelewa siku ukiamua kutumia Akili zako binafsi kuishiSijakuelewa kabisa.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sananadhani wewe ni jinga lao umebadili ID
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM kimefanya kazi gani nzuri?Hongera NEC, moaka hivi sasa mmeifanya kazi yenu kwa weledi na uzalendo. Msiwasikilize chadema hawajawahi kuiongelea mazuri nchi wala taasisi zake..
Wewe ni mnufaika wa blackmail kuwabambikia kodi TRA wafanyabiashara wakubwa na BOT kupora pesa za watu zinazotumwa tokea nje mpaka mmefanya wafanyabiashara kwenda kuweka pesa zao Uganda Zambia kenya kusiko na ujinga wenu , huwezi kujua tabu iliyopo kwa wananchi wa kawaida kwani wewe tayari umetajirika kupitia udikiteta wenu.Kuna kikundi kidogo cha wajinga ambao wapo tayari kudangwa kwa siasa za maji taka mfano wakati mh.Rais Magufuli akisisitiza kuwa WE ARE IN THE RIGHT TRUCK wao wakasema hawajui JPM analipeleka wapi taifa. Baada ya muda mfupi tu Tanzania ikatangazwa imeingia kwenye uchumi wa kati wao wakaona wanalitiaje doa jambo hili wakaja na kauli ya maendeleo ni ya watu na sio vitu. Safi kabisa na mie nawaunga mkono lakini je, waliotoa takwimu hiyo ya kuwa sasa Tanzania ipo uchumi wa kati waliangalia barabara, ndege, fly overs au waliangalia kipato cha mwananchi mmoja mmoja kwa mwaka mzima anaingiza ngapi? Na kama waliangalia kipato cha mwananchi mmoja mmoja je,tunamaendeleo ya vitu au pamoja na watu? Lisu anasikiliza n awahuni tu wafuata upepo.
Na ndio maana kila siku nasema kama akifikisha kura 1.5m nipigie ban miezi sita.
MAGUFULI4LIFE.
NECCCM Tumeccm na Polisiccm ni vyombo binafsi vya CCM vinawezaje kufanya kazi nzuri?Tume ya Uchaguzi imefanya kazi kwa ueledi
Ila CHADEMA wanaogopa kushindwa ndio maana wanatoa shutuma za uwongo ili kuwadanganya wafadhili wao
Inaendesha uchaguzi ambao chadema kwa kuridhika na weledi wake mmeshiriki. Hamjasusia uchaguzi kushinikiza ifanyiwe mabadilikoNECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM kimefanya kazi gani nzuri?
Nipe ushahidi hata wa mtu mmoja tu aliye bambikiwa kodi (tafadhali nakuomba sana usile kona).Wewe ni mnufaika wa blackmail kuwabambikia kodi TRA wafanyabiashara wakubwa na BOT kupora pesa za watu zinazotumwa tokea nje mpaka mmefanya wafanyabiashara kwenda kuweka pesa zao Uganda Zambia kenya kusiko na ujinga wenu , huwezi kujua tabu iliyopo kwa wananchi wa kawaida kwani wewe tayari umetajirika kupitia udikiteta wenu
πππͺπͺπInaendesha uchaguzi ambao chadema kwa kuridhika na weledi wake mmeshiriki. Hamjasusia uchaguzi kushinikiza ifanyiwe mabadiliko
No. Mjomba, haya yanatoka moyoni si kwa ushawishi wala kigezo Cha kujua kusoma na kuandika.
Fuatilia vzr mfumo wa uchaguzi hasa wa mwaka huu utajifunza kitu kizur Sana.!!