Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,157
1,893
Habarini Wadau,

Napenda kutoa pongezi kwa Wanawake wengi wa kisukuma kwa kuwa na tabia njema kulinganisha na makabila mengi hapa nchini,kwa mfano:-

1) HESHIMA: Hawa mabinti wa kisukuma na hata wamama wa huko wengi wao wana adabu na heshima sana. Ukimwoa msukuma na kumpa tu hela ya msosi wa kutosha atakuheshimu sana na kukujali kama Mume. Heshima ipo ndani ya damu zao.

2) WENGI SIO WAKATILI:

Ukiwalinganisha wanawake wa kisukuma na wa makabila mengine,hawa wa kisukuma ni wapole zaidi na wenye utu.

Na kwa jinsi wasukuma walivyo wengi Tanzania hii....basi kama wanawake wao wangekuwa na roho mbaya za kikatili tungesikia sana wakisemwa vibaya. Imagine ni kabila lenye watu wengi kuliko yote Tanzania ila husikii wakiogopwa na wanaume na kujulikana kwa ukatili.

3) WANA NGOZI NA MAUMBO MAZURI:

Sio siri wanawake wa kisukuma 98% wana shapes za ukweli, hasa t*ako nzito nzito za maana, bila kusahau ngozi zao nyeusi za kuteleza. Sijui ni zile samaki za ziwa victoria wanazokula?

Sio rahisi ukute mdada wa kisukuma ana flat screen.

Hongereni mabinti/Wanawake wa kisukuma.
 
Back
Top Bottom