Hypocrisy will kill you one day!Naomba ku-declare interest mimi sina uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya Usafirishaji Kimbinyiko. Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara kutoka Dar kwenda Dodoma and vice versa. Mabasi ya hii kampuni ni classic, huduma safi, wahudumu wachangamfu na nadhifu, ukiketi kitini unaweza kudhania upo ndani ya ndege. Kwa kweli mpo vizuri sana. Big up sana Kimbinyiko bus services. Mnyonge myongeni....
Its not your default. If ur not interested with my story you better keep quit ! This story may act as a challenge to other service providers so that they improve their services.Hypocrisy will kill you one day!
Hili sio tangazo. Mimi ni mtumiaji wa huduma. So, i'm free to give out my opinions which perhaps may act as catalyst for others. Tunahitaji ubunifu kama wa hawa jamaaa ili tuweze kupiga hatua.Lipia Tangazo
Sasa mbona hicho kiti cha kulia hapo pembeni ya huyo mhudumu kina vumbi hvyo mkuuNaomba ku-declare interest mimi sina uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya Usafirishaji Kimbinyiko. Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara kutoka Dar kwenda Dodoma and vice versa. Mabasi ya hii kampuni ni classic, huduma safi, wahudumu wachangamfu na nadhifu, ukiketi kitini unaweza kudhania upo ndani ya ndege. Kwa kweli mpo vizuri sana. Big up sana Kimbinyiko bus services. Mnyonge myongeni....
Hahahaaa. Siwajui wamiliki na siko interested kuwajua. But i'm comfortable with their services.Lunyiliko Kimbinyiko
Najaribu tu kuandika chochote ili nionekane nimechangia mada
Uko sahihi mkuu. We must differ in test because of reasoning skills.Hujanishawishi
Shabiby wathenge tu leo nimepanda toka dar kwenda arusha kufika moshi wakatuweka nusu saa afu wakasema wameahirisha hawafiki arusha wakatufaulisha kwenye mngalangala uliotoka kijiji...siwaheshimu tenaDar Lux, Kilimanjaro na Dar Express huduma hovyo kabisa.
Tahmeed,Shabiby na New Force wanajitahidi
Shabiby ana bus za Dar Arusha?Shabiby wathenge tu leo nimepanda toka dar kwenda arusha kufika moshi wakatuweka nusu saa afu wakasema wameahirisha hawafiki arusha wakatufaulisha kwenye mngalangala uliotoka kijiji...siwaheshimu tena