Hongereni mnaopendana

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
812
Reaction score
1,924
Mvua inaendelea kunyesha mjini hapa na bila shaka kila mmoja anachukua tahadhali stahiki ili kuendelea kubaki salama.

Hongereni sana mnaopendana. Mliopendana bila kujali hali au mazingira ya kiuchumi na kisha uchumi ukawafuata. Mapenzi ni matamu sana kama upendo unatoka moyoni. Siku hizi mapenzi yameathiriwa na kigezo cha pesa.

Wazazi wetu walifaidi sana enzi zao. Kwa sasa unaweza kumpenda mtu na yeye akawa amependa uchumi wako๐Ÿ˜›
 

Win Win Situation - Zingatia Maokoto.
 
changamoto ya nguvu za kijinsia imeingilia kati na kuongeza unyonye kwa wapendanao, licha ya hali ya hewa kichocheo kua bayana, hurumaaaaa eee dah, jamaa lina six packs kabisa lakini huko chini legevu baridi ๐Ÿ’
 
Unawaza uzinzi tu ....hata hawapendani๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
 

Attachments

  • 255623140747_status_96a7675bb7254e3b9a07b0a00d5bd83a.jpg
    14.8 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ