LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) chuo kikuu cha dodoma leo tarehe 3 mei 2014 kimepata uongozi mpya utakao kitumikia chama pamoja na wananchi kwa moyo na nguvu zote. wakiongea mara baada ya uchaguzi huo viongozi hao wameonesha nia za dhati za kukitumikia chama kwa manufaa ya wananchi wote. napenda kutoa pongezi na shukurani kwa wote waliofanikisha mchakato huo. peeeeeeeeeeeeeeooooooooooooooooooopppppppppppplessssssssssssssssss....poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!