Umechukua viti vyote 12 vya udiwani umebeba. Umedhihakiwa sana. sasa kachape kazi. Ndio maana wahenga walisema kuwa MUNGU SI ATHUMANI. MUNGU ANGEKUWA BINADAMU TUNGEANGAMIA WOTE. Hongera.
Wagombea 190+ Nchi nzima kaambulia yeye tu kwasabu sio mpinzani kapata back-up ya NEC ndio maana kajitangaza kashinda saa 11 Jioni,hakukuwa na mizengwe Kama kwa kina Hasanali,mbagala,wenje,kawe hamjiulizi? Zitto sio mpinzani.

unpredictable and antamable Karumanziwese, probable too proximity and influenced by Predecee , Primus & Himagamerics.All in all Peace comes first and shall prevail.
Mbona magufuli kapata 25% lakini NEC wamempa 58%,kuzidiwa kura ni uratibu tu wa NEC wakiamua uzidi hata kwa elfu 50 inawezekana au haujaona mbagala cuf wamezidiwa kura karibu elfu 70.