witness kagirigiri
Member
- Mar 23, 2017
- 64
- 89
Nalaani kitendo cha chama cha CHADEMA kuleta wagombea wawili (fixed candidates) hawa jamaa wananikumbusha enzi za chama kimoja, walikuwa wanaleta Rais na kivuli ili Rais apite bila kupingwa kwani huwezi kuchagua kivuli kama una timamu.
Demokrasia ya kweli huwa namba inayo zidi ili watu wawe na uhuru wa kuchagua. Huwezi kuja umechagua harafu ukaniambia pitisha wakati umesha maliza uchaguzi wako. Hawa jamaa wanaimba demokrasia wakati wameficha mapanga nyuma. CCM mmeonyesha ukomavu wa demokrasia kwa kuleta wagombea 12 wakati wanaohitajika ni 6. Mmekomaa kisiasa.
HONGERENI SANA.