M mtemiwao JF-Expert Member Sep 5, 2010 384 46 Nov 1, 2010 #1 Nani anabeza mguvu ya umma?niwapongeze mmepiga kura kwa fujo,na mmedai matokeo yenu na walipochelewesha ili wachakachue mkawaonyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo,next time hawatarudia.....vijana sehm zingine amkeni mkomboe nchi
Nani anabeza mguvu ya umma?niwapongeze mmepiga kura kwa fujo,na mmedai matokeo yenu na walipochelewesha ili wachakachue mkawaonyesha jinsi nguvu ya umma ilivyo,next time hawatarudia.....vijana sehm zingine amkeni mkomboe nchi
Aza JF-Expert Member Feb 23, 2010 1,700 226 Nov 2, 2010 #2 asante tuko pamoja na kawe,ubungo,manyara nk nk wanakozuia matokeo adi sasa hivi?jumanne 2/11/2010
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Nov 2, 2010 #3 Niwapongeze pia arusha na sehemu zingine zote ambazo Chadema imeshinda
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Nov 2, 2010 #4 aza said: asante tuko pamoja na kawe,ubungo,manyara nk nk wanakozuia matokeo adi sasa hivi?jumanne 2/11/2010 Click to expand... aluta continua
aza said: asante tuko pamoja na kawe,ubungo,manyara nk nk wanakozuia matokeo adi sasa hivi?jumanne 2/11/2010 Click to expand... aluta continua