Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,949
- 21,025
Uongo hauna kwao. Baada ya Sekenke umezungukia mkoa Mzima wa Tbr ukakuta kuna coverage ya huo mtandao unaoupromote?Watanzania bwana, basi hapo kwenye ttcl futa weka Jina la mtandao wako unaotumia ufurahi ww
Uongo hauna kwao. Baada ya Sekenke umezungukia mkoa Mzima wa Tbr ukakuta kuna coverage ya huo mtandao unaoupromote?
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe hiyo Kigoma ni walaya ya Kigoma ujiji tu ndio unapata coverage ya TTCL .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nimesema kuwa karibu ni tija? Tatizo unasifia mtandao ambao hata waliopewa kazi ya kuutangaza hawasemi kwamba unapatikana kila sehemu ya nchi.
Naona umeshaanza kujishtukia na GPA yako. Pole sana, ndo ukubwa huo. TTCL kuna eneo hapa ubungo internet ni edge mwanzo mwisho sasa sijui huko wilayani inasoma vitu gani. Endelea kutafuta wateja, afisa masoko.
Mtandao wangu una 3.85G hata 4G bado!Boss me sio mwajiriwa wa ttcl Hilo Moja, na pili hata huo mtandao wako unaotumia Kuna sehemu inasoma Edge hivyo hivyo, Tatu nimeshare experience ya safari yangu ya zanzibar to kigoma kwa ttcl kutozingua network Sasa sioni shida, hata ww unaweza kuanzisha uzi wa 5G unayopata kwenye mtandao wako
Hata Mimi kwangu internet ilikuwa Hamna Ila kwa sasa mambo ni. Hongereni
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss unapenda ligi. Haya ngoja nirudishe laini yangu ya TTCL ufurahi. Maana ina miezi 4 sasa sijaitumiaEeh Sasa anzisha uzi wako wa hiyo 3.85G ambayo Tanzania mzima iko hivyo hivyo 3.85G
Boss unapenda ligi. Haya ngoja nirudishe laini yangu ya TTCL ufurahi. Maana ina miezi 4 sasa sijaitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio ligi nakwambia ukweli Haya rudisha line yako then uje na Mrejesho
Acha hizo, sababu ya kutokuwa na network mahali inaweza sababishwa na vizuwizi (mlima) vitakavyo badilisha mwelekeo wa mawimbi (diffraction). Hili siyo tatizo la kampuni yeyote ile bali ni sifa moja ya kusafiri kwa mawimbi (wave propagation), hapo Ubungo kuna miinuko upande wa Chuo kwahiyo inaweza kuwa ni sababu ya kutokuwa na mawasiliano mazuri.Naona umeshaanza kujishtukia na GPA yako. Pole sana, ndo ukubwa huo. TTCL kuna eneo hapa ubungo internet ni edge mwanzo mwisho sasa sijui huko wilayani inasoma vitu gani. Endelea kutafuta wateja, afisa masoko.