Hongera TTCL

poor poor poor kwanza ni waongo sana, eti kila mahali ni 4G nimeenda wilaya fulani hata 2G ni shida kubwa sana, mara iandike Tigo
 
garama zikoje ?
 
Samahani mkuu,kwani huduma hiyo ya mawasiliano na Internet si ulilipia??
Mbona umefurahi kanakwamba ulipewa ofa,au kanakwamba ni jambo jipya sana hapa duniani???!!!
 
Samahani mkuu,kwani huduma hiyo ya mawasiliano na Internet si ulilipia??
Mbona umefurahi kanakwamba ulipewa ofa,au kanakwamba ni jambo jipya sana hapa duniani???!!!

Sio kila unacholipia kinakuja na ubora kama unaoutarajia, sasa ukipata ubora kidogo lazima ufurahie, ni kama ww unalipa kodi ila usishangae kijijini kwenu hata barabara ya lami hakuna
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…