weka pesatellWatanzania bwana, basi hapo kwenye ttcl futa weka Jina la mtandao wako unaotumia ufurahi ww
basi iwe wewetellWeka ww
Kwasasa wapo vizuri sana hadi wilayani wamefika mkuu, Mimi pia ni mteja wao(ttcl).Zaman ilikuwa nikiwa nasafiri nikifika mbezi mwisho natoa laini ya TTCL naweka ya hallotel au Tigo coz najua hapo ndio mwisho wa ttcl
But kwa Mara ya Kwanza Leo nimetoka zanzibar mpaka kigoma nikiwa na lain yangu ya ttcl, napata internet na napiga simu fresh kabisa sehemu Zote ambazo nimepita, sehem ambayo kidogo network ilisumbua ni mlima senkenke ila sehemu zingine Zote mpaka nimefika kigoma network iko poa kabisa
Hongereni Sana
Watanzania bwana, basi hapo kwenye ttcl futa weka Jina la mtandao wako unaotumia ufurahi ww
HahahahaWatanzania bwana, basi hapo kwenye ttcl futa weka Jina la mtandao wako unaotumia ufurahi ww
Huo mtandao ni waserikali, ni rahisi kudukua taarifa za watu.
Siwezi utumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipie gharama za matangazoHongera Sana kwa kutoka zanzibar hadi Kigoma kwa TTCL bila kukata isipokuwa SEKENKE tu,inawezekana ulikuwa unafanya roaming bila kujua maana CEO wake KINDAMBA ni mbunifu.
Huo mtandao ni waserikali, ni rahisi kudukua taarifa za watu.
Siwezi utumia
Sent using Jamii Forums mobile app