Hongera TANAPA kwa kudhubutu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera TANAPA kwa kudhubutu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Aug 5, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimepokea msg toka TANAPA via my phone inasema "tumia weekend yako moja kutembelea hifadhi iliyokaribu nawe ili uburudike wewe familia na jamaa na marafiki.Kwa maelezo zaidi tembelea www.tanzaniaparks.com "

  Ukizingatia aka kaweekend ni karefu si unajua jumatatu nane nane jamani tuwaunge mkono TANAPA ili wapate ela za kuendeleza nchi yetu.
  Najua wapo watakao ona haina haja hasa unapokuwa hauna uhakika wa ela utakayolipa kama itachangia kweli maendeleo ya nchi unlike currently maendeleo ya mtu binafsi ndo yako mbele.

  Ila big up mwanzo mzuri
   
Loading...