Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba alitetea vyema hoja yake mwishoni mwa mwezi Novemba na ametunukiwa shahada yake ya Uzamili katika Utawala wa Biashara (MBA). Hongera..! Tunakusubiri kwenye Uzamivu! (picha namichuzi)
Huyu ndio boi wa Mafisadi nambari one hata sidhani kuwa elimu hiyo aliyopata itamsaidia. Kigoma wananchi wamekwishamstukia hawamtaki kabisa kwa hiyo ubunge kwa boi huyu ndio umetoka itabidi wafadhili wake pengine wamtafutie Ukatibu Kata!!